Wednesday, November 2, 2016

UGANDA: RAISI YOWERI MUSEVENI ATOA AMRI YA KUFUNGWA KWA CHUO KIKUU CHA MAKERERE


Chuo kikuu cha Makerere ni kimoja kati ya vyuo vikuu vikongwe Afrika. siku ya juma nne jana tarehe 1/novemba ndipo raisi wa Uganda alipo toa amri ya kufungwa kwa chuo kikuu hicho, kufuatia maandamano ambayo yalikuwa yanaendeshwa na waalimu pamoja na wanafunzi wa chuo kikuu hicho cha makerere.

Walimu wa chuo hicho ndio walio anzisha maandamano wakidai kuto ongezwa kwa mishahara yao kama walivyo kuwa wame ahidiwa, pia yapata miezi minane sasa hawajapata mishahara yao na kuidai serikari kuwalipa.

walimu hao walichukua hatua ya kugoma kufundisha na kufanya maandamano, na wanafunzi kuto kukubaliana na kitendo cha walimu wao na wao pia kufanya maandamano.

siku ya jana raisi Yoweri Museveni wa Uganda ndipo alipo chukua uamuzi wa kufunga chuo hicho kikuu cha Uganda (Makerer).

Sababu kubwa ya kufungwa kwa chuo hiki ni kuepukana na hasara ambayo husababishwa na uharibifu wa vifaa vya shule kipindi cha maandamano.

PICHA YA RAISI PAUL KAGAME AKI MUENDESHA MFALME WAA MOROCCO YAONGELESHA WENGI

Raisi Paul Kagame wa Rwanda na Mfalme Mohammed VI wa Morocco ndani ya Range Rover/ COURTESY

Pica hii ya raisi Paul Kagame aki muendesha Mafalme wa Morocco ndani ya Range Rover / COURTESY baada ya ziara ya siku kadhaa mfalme huyo alipotembelea nchi ya Rwanda, yasababisha watu kuzungumza mengi katika mitandao mbali mbali ya kijamii.

Picha hii ili postiwa kwenye akaunti ya Facebook ya raisi Paul Kagame, akiendesha gari nyeusi aina ya Range rover na kwenye siti ya pembeni Mfalme Mohammed VI wa Morocco akiwa amekaa pembeni.
Hawa wawili walionekana wakiwa wamekaa ndani ya gari na kuzungumza machache katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Rwanda, Kanombe Airport baada ya ziara iliyo fanywa na mfalme huyo wa Morocco nchini Rwanda. 
Walinzi wa mfalme walionekana wakiwa wamengoja mfalme huyo azungumze machache na raisi Kagame kisha wamsindikize kwenye ndege kuendelea na safari.




Raia wa Kenya wamechukua nafasi kujadili mengu kuhusiana na mengi mazuri anayo yafanya raisi wa Rwanda Paul Kagame.


Another Kagame admirer Musa Haji Goh posted: "This jacaranda man is one rare breed. .. I admire him and he earned my respect. .there are few like him but someone to compare him in Africa leadership .. I haven't seen or heard... I salute you Mr President."
"Thanks Mr Kagame (president of Rwanda). When you finish with Rwanda come back home and help us to solve the mess on our land - corruption, that is giving our president (Uhuru Kenyatta) sleepless nights. No one cares about labourers, all big fish go freely around and no one is doing any thing. Keep working hard for the best and better lives of Rwanda citizens," posted Anthony Gatimu .


Tuesday, November 1, 2016

BARUA YA TUPAC SHAKUR YAUZWA DOLA 172.000

Ni miaka 20 sasa baada ya kifo cha msanii mashuhuriTupacShakuri bado inaonekana kuwa watu bado wana hitaji mengi kutoka kwa msanii huyo,
Siku ya juma mosi ya tarehe 29 mwezi Octoba mwaka huu kurasa nne zilizo andikwa na msanii huyo zilifanyiwa mnada na kuuzwa $ 172.000.


 Hapa chini unaweza kuona barua iliyo andikwa kwa mkone wake mwenyewe hayati Tupac Shakur.


NEW VIDEO : YA MUNGU By ALPHA RWIRANGIRA

Baada ya Msanii Alpha wa Rwanda kuwa kimya kwa muda mrefu sasa kaja na video yake mpya "Ya Mugu"


Msanii huyu akiwa kamaliza masomo yake nchini Marekani na kuanza kufanyia kazi huko huko inaonekana kwa sasa ki muziki atafanya mambo makubwa kwani ana nafasi ya kutosha.



MSHIRIKI KUTOKA KENYA OLIVE KIARIE AIBUKA MSHINDI WA MAISHA PLUS EAST AFRIKA

Mshiriki wa Maisha plus Olive Kiarie kutoka nchini Kenya aibuka mshindi katika mashindano hayo. ikiwa finali za mashindano hayo zilifanyika juma pili ya week iliyo pita.


Mashindano haya hufanyika kila mwaka na kushirikisjha washindani kutoka katika nchi za Afrika Mashariki kama vile Tanzania, Rwanda, Uganda, Kenya na Burundi.

Ushindi huo umemfanya binti Olive Kiarie kutoka Kenya kujinyakulia ushindi huo.




WhatsApp YAANZISHA VIDEO CALL KWENYE SIMU ZA ANDROID

Baadhi ya watumiaji wa simu za Android kwa sasa wanaweza kupiga simu kwa njia ya video call.


kwa sasa huduma hiyo inapatikana kwa watumiaji wachache wa simu za Android, huku wale wenye simu za iphone kuwekwa pembeni. huduma hii bado ipo kwenye majaribio. (Beta version)

Uwezo huo wa WhatsApp kupiga simu za video umekuja ili kushindana na application ya Facetime ya Apple.

Wednesday, October 19, 2016

BAC-T a.k.a BLASTMASTER KUTOA NYIMBO MPYA "WAPE"

Msanii maarufu wa miondoko ya hip hop nchini Rwanda Bac-t ka achia nyimbo mpya iliyopo katika miondoko ya Afro hip hop new skul. na kuipatia jina la "Wape".


Pia Bac-T katangaza  kuachia nyimbo nyingi mfurulizo kabla mwaka huu kufika mwisho na amesema kuwa mashabiki wake wakae tayali kwani kabla ya mwaka kumalizika anatarajia kuachia album yake ya tatu iliyopo katika miondoko ya hip hop.


Hapa chini unaweza kusikiliza nyimbo Wape by Bac-t na pia kui download


Hapa chini Unaweza kutazama kipande cha video ya studio aduio making