Follow by Email

Thursday, June 16, 2016

2PAC SHAKUR KAMA ANGEKUWA HAI LEO ANGEKUWA ANATIMIZA MIAKA 45
TUPAC AMARU SHAKUR Ambaye majina yake harisi ni Lesane Parish Crooks alizaliwa 16, June, 1971 an alikufa September 13, 1996. Na anajulikana kwa majina ya kazi kama 2Pac na Makaveli, Alikuwa ni rapper wa Kimarekani pia Mcheza sinema. Mnamo miaka ya 2007 alifanikiwa kuuza zaidi ya millioni 75 za record zake duniani kote. ambapo alitoa album mbili kwa mkupuo ambazo ni  All Eyes On Me na Greatest Hits, na kufanya record yakuwa muuzaji mzuri wa album huko USA. ameshawahi kupewa taji lakuwa Greatest artist of all the time kwenye majarida mengi yaliyotolewa kipindi hicho akiwa hai.


Nakama Tu Pac Shakur leo angekuwa hai angekuwa na miaka 45 na leo angekuwa ana shrekea siku yake ya kuzaliwa. Ma rapper wengi wamefanya mengi ili waweze kufikia yale ambayo yalifanywa na mtu mzima Pac.
Sisi kama Up in KGL tuna watakia sikunjema wale wote ambao ni washabiki na vipenzi wakubwa wa hayati Amaru Shakur 2Pac