Follow by Email

Tuesday, January 5, 2016

MSANII MUCHOMA RAMJANE KUTOKA RWANDA KUJA NA BONGE LA VIDEOMsanii kutoka Rwanda Muchoma Ramjane kuanza mwaka wa 2016 vizuri, baada ya kuachia video yake ya My Love. wasanii wengi kwa sasa baada ya kumaliza kufanya audio husumbuka kutafuta ni namna gani wanaweza kutoka? jibu liko hapa, video zenye muonekano mzuri ndio zimekuwa jibu kwa wasanii wote duniani. Muchoma sasa inaonekana muelekeo utakua safi sana mwaka huu baada ya kuachia video yake ya my love. ni video mpaka hivi sasa tayali imefika kwenye television nyingi Africa mashariki.
Hapa unaweza kutazama video ya My Love by MuchomaKama una comment zozote unaweza kui dodosha apa chini.