Follow by Email

Wednesday, October 19, 2016

BAC-T a.k.a BLASTMASTER KUTOA NYIMBO MPYA "WAPE"

Msanii maarufu wa miondoko ya hip hop nchini Rwanda Bac-t ka achia nyimbo mpya iliyopo katika miondoko ya Afro hip hop new skul. na kuipatia jina la "Wape".


Pia Bac-T katangaza  kuachia nyimbo nyingi mfurulizo kabla mwaka huu kufika mwisho na amesema kuwa mashabiki wake wakae tayali kwani kabla ya mwaka kumalizika anatarajia kuachia album yake ya tatu iliyopo katika miondoko ya hip hop.


Hapa chini unaweza kusikiliza nyimbo Wape by Bac-t na pia kui download


Hapa chini Unaweza kutazama kipande cha video ya studio aduio makingKING KAKA AONEKANA KATIKA PICHA AKISHIKILIWA NA POLISI NCHINI KENYA

Msanii wa hip hop nchini Kenya Kaka sungura a.k.a King Kaka ame onekana katika picha zilizo sambaa mtandaoni akiwa kashikiliwa na polisi. Japo kuwa mpaka sasa haija julikana nini sababu ya msanii huyo kushikiliwa na police


 Ikiwa watu bado wanajiuliza kama huyu msanii kashikiliwa na polisi kweli au hizi ni picha za video au alikuwa ana shoot movie wacha tusubili habali kamili, na Upinkgl tutawajuza hivi kalibuni.

Friday, September 30, 2016

SALOME VIDEO YA DIAMOND PLUTNUMZ YAPATA VIEWS MILLION 3 KWA WEEK MOJA NDANI YA YOUTUBEVideo ya Diamond Plutnumz aliyo mshirikisha Raymond ya "Salome" yapata zaidi ya views million 3 kwa muda wa week moja tu, ndani ya mtandaom wa YOUTUBE.Nyimbo hii ni Remix ya nyimbo ya muimbaji mwana mama Saida Kaloli, ni nyimbo iliyo pata umaarufu sana Afika Mashariki. Diamond kaamua kuirudia na kuifanya pamoja na mwanamziki mwenzake kutoka Wasafi Records Raymond.Diamond amekuwa ni mmoja kati ya wasanii wakubwa wanao iwakilisha Afrika Mashariki na kuwa ni mtu anaye pata vies nyingi zaidi Youtube pindi anapotupia video zake tu ndani ya mtandao huo.

Thursday, September 15, 2016

VICTORIA KIMANI MSANII WA KENYA AFANYA NYIMBO YA KWANZA KWA LUGHA YA KISWAHILI


Victoria Kimani ame onekana ku walalamikia mashabiki wake wa Kenya pamoja na East Africa kwa ujumla kuwa hawampi sapoti katika kazi zake za mziki. ila sababu ilionekana ni kuwa Kimani hawapi nyimbo wakazi wa Kenya na Afrika mashariki kwa ujumla ambazo zipo kwa lugha wanayo ielewa.


Ila kwa sasa Victoria Kimani Kafanya nyimbo ambayo ipo kwa lugha ya Kiswahili kwa mala ya kwanza, nyimbo ambayo kaipatia jina la "Gota"

Kimani amemtaja rapper AbbasDoobies kuwa ndiye aliye msaidia kuandika hii single ya kiswahili.
unaweza kuisikiliza Gota ya Victoria Kimani  hapa chini....


Friday, September 9, 2016

KANYE WEST KUTANGAZA KUFANYA ALBUM YA PAMOJA NA DRAKE


Tayali ni habari isiyo na chenga kuwa Kanye West anaenda fanya abum ya pamoja na msanii Drake.
Juzi kati habari hizi zilitolewa na mtu mzima Kanye West akiwa kwenye interview na Vogue. alizungumza  
“We’re just working on music, working on a bunch of music together, just having fun going into the studio,” he explained. “We’re working on an album, so there’s some exciting things coming up soon.”


RAISI PAUL KAGAME AMEOMBA NCHI ZA EAC KUWA MAKINI KATIKA MTAZAMO NA MIPANGO WALIYO JIWEKEA

Raisi Paul Kagame wa Rwanda alipokuwa katika mkutano wa 17 wa viongozi wa nchi ziazo tengezeza jumuiya ya Afrika Mashariki, mkutano uliofayikia mjini Dar es Salaam Tanzania Kagame alisistiza kuwa nchi za EAC zinapaswa kuwa makini katika mtazamo na mipango waliyo jiwekea.


Raisi Kagame ameonyesha kuwa kufanya kazi pamoja kama jumuia ya nchi za Afrika Mashariki itasababisha nchi zote kuwa na nguvu kuliko kila nchi kujitegemea.
Alisema kuwa "Kwanza kabisa tunapaswa kuweka bidii na kujituma katika mitazamo na mipango tuliyo jiwekea kama jumuia, na pia kuweka bidii katika utendaji wa kazi nzuri na zenye manufaa.
Huu muungano una tusababishia kuwa na nguvu kuliko pale ambapo kila nchi ikijitegemea. lakini hapa tunapaswa muda wote kuwa pamoja na  kushirikiana ili tuweze kutekeleza yale yote tunayo kubaliana".

Raisi John Pombe Magufuli wa Tanzania, Yoweri Museveni wa Uganda, Paul Kagame wa Rwanda na makamu wa raisi wa Kenya William Ruto. Hawa ndio viongozi waliokutana.

Sudani ya mashariki ili wakilishwa kama  nchi ya sita ambayo nayo ikiwemo katika jumuia ya nchi za Afrika Mashariki japo kuwa raisi wa nchi hiyo Salva Kiir hakuwepo kwenye mkutano huo.

Pia maswala ya Burundi yali zungumziwa katika mkutano huo, raisi Pierre Nkurunziza hakuwepo lakini ali wakilishwa na waziri wake wa mambo ya nje bwana Alain Aime Nyamitwe.
Msuruhishi wa maswala ya Burundi bwana Benjamini William Mkapa aliwakilisha faili ambalo lina eleza pale mambo yalipo fika katika jukumu la kutafuta amani nchini Burundi.
Kiongozi wa EAC raisi John Pombe Magufuli alimshukuru bwana Benjamini Mkapa kwa kazi ambayo ana ifanya kama mkutanishi katika maswala ya kutafuta amani ya Burundi.
Thursday, September 8, 2016

RAISI WA KENYA UHURU KENYATA AWAKARIBISHA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI NA WATENGENEZAJI MAGARI AINA YA VOLKSWAGEN NCHINI KENYA

Raisi Uhuru Kenyata wa Kenya ame wakaribisha watengenezaji wa magari aina ya Volkswagen Group nchini Kenya kwa Mazungumzo.
kupitia acount yake ya facebook amesema " I am happy to welcome back the lagest car manufacturer currently in the world, back to Kenya, Volkswagen South Africa will establish an assembly plant to produce motor vehicles at the Kenyan vehicle Manufacturers limited in Thika.This is my milestone in my administration's determined push to grow the manufacturing base and transform Kenya into an industrialized nation".