Follow by Email

Tuesday, November 1, 2016

NEW VIDEO : YA MUNGU By ALPHA RWIRANGIRA

Baada ya Msanii Alpha wa Rwanda kuwa kimya kwa muda mrefu sasa kaja na video yake mpya "Ya Mugu"


Msanii huyu akiwa kamaliza masomo yake nchini Marekani na kuanza kufanyia kazi huko huko inaonekana kwa sasa ki muziki atafanya mambo makubwa kwani ana nafasi ya kutosha.No comments:

Post a Comment