Monday, December 21, 2015

SPAXX MSANII WA RWANDA AMSHIRIKISHA PALLASO WA UGANDA, NYIMBO INAITWA NASKIA VIZURI

Spaxx msanii mkongwe wa miondoko ya Dancehall kutoka Rwanda, amefanya Collabo na msanii kutoka Uganda Pallaso, nyimbo inaitwa "NASKIA" audio ime fanywa na producer Pachento ndani ya Studio za Narrow road Records.

Tazama Audio Cover ya NASKIA by Spaxx Ft Pallaso



Kutokana na Taarifa kutoka kwa Spaxx Anasema kama tayali na video imesha shootiwa nchini Uganda na Video Director  kutoka Rwanda ambaye ana julikana kwa jila la Meddy Sareh. ikiwa bado tuna subili kwa hamu kuona video, tazama picha ya Spaxx na Pallaso waki shoot video ya Naskia.



Google IMETOA LIST YA THE 10 MOST SEARCHED SONG LYRICS 2015

Mtandao wa Google umetoa list ya video kumi ambazo zime fanyiwa search nyingi kuliko zote duniani kati ya huu mwaka wa 2015. THE MOST GOOGLED SONG LYRICS 2015.
Adele neye baada ya kufanya vizuri kwenye nyimbo yake Hello, bado ana ongoza kwenye list hii iliyo tolewa na Google
Tazama list yote ya lyrics 10 hapa chini

1 - Hello - Adele
2 - Hozier - Take me to Church
3 - Taylor Swift - Blank Space
4 - Mark Ronson ft Bruno Mars -Up town Funk
5 - Edd Sheeran - Thinking out Loud
6 - Drake - Hotline Bling
7 - Wiz Khalifa - See you Again
8 - Fetty Wap - Trap Queen
9 - The Weekend - The Hills
10 - OMI - Cheerleader

Thursday, December 17, 2015

HAWA NDIO TOP 5 YA WASANII WAKIKE AFRICA

MTV BASE imetoa list ya wasanii watano ambao wako juu Africa, akiwemo na msanii wa kike kutoka tanzania East Africa Vannesa Mdee.

Na hii ndio list

1 - Yemi Olade (Nigeria)
2 - Vannesa Mdee (Tanzania)
3 - Seyo Shay (Nigeria)
4 - Cinthia Morgan (Nigeria)
5 - Bucie (South Africa)

                                                                              Yemi Olade (Nigeria)
                                                                      Vannesa Mdee (Tanzania)
                                                                  Seyo Shay (Nigeria)
                                                              Cinthia Morgan (Nigeria)
                                                               Bucie (South Africa)

SHINDANO LA SURA MBAYA JE APO UPO?


Sio sura nzuri tu ambazo zina uza ata mbaya pia zina uza, kwani kume andaliwa shindano la wanaume wenye sura mbaya Africa, liitwalo Mr Ugly Africa ambapo wale wote wanao jiamini kuwa na sura mbaya wanaweza kuji andikisha na kushindania taji hilo, je wewe upo apo?

Angalia apa chini baadhi ya sura ambaya zilizo wwahi kushinda baadhi ya mashindano ya namna hiyo barani africa

                                                                        Sura ya Uganda

NEW SONG Kalapina Ft Dunga - Magufuli Balaa

Hip Hop Artist Kalapina a.k.a Nabii koko

Msanii  Wa Hip Hop Tanzania Na Mmiliki Wa Kundi La Kikosi Cha Mizinga Kalapina a.k.a Nabii Koko Atoa Ngoma Mpya Akimuongelea Rais Mteule Wa  Tanzania  Dr. John Pombe Magufuli, ni nyimbo iliyo jaa sifa za huyu raisi aliye weza kuji tengenezea umaarufu mkubwa mara baada ya kuanza vita dhidi ya mafisadi na kutambulisha ratiba za usafi wa nchi na mengine mengi, 
Jina La Wimbo Ni Magufuli Balaa.


Saturday, November 28, 2015

NEW VIDEO : Chris Brown Fine By Me

                                                    Chris Brown

Chris Brown, kutoka kwenye album yake "ROYALTY" album ya saba ikiwa bado iko studio na ita toka December 18. Chriss kaachia videa ya single "Fine By Me".


Friday, November 27, 2015

BAC-T MSANII WA HIP HOP RWANDA ATANGAZA UJIO WAKE BAADA YA TODAY IS MY DAY

Bac-t Msanii mkongwe wa miondoko ya hip hop nchini Rwanda baada ya kutoa video ya nyimbo yake iliyo itwa Today Is My Day aliyo mshirikisha msanii mwenzake Pacson.

                                    
                                                                    Msanii : Bac-t
 Sasa anatangaza kuachia video yake nyingine mpya ambayo ame mshirikisha msanii wa kike wa Rwanda kutoka nchini UK aitwaye Amore.
                                                                  Bac-t and Amore

 Bac-t anasema kuwa hivi karibuni anahitaji kuachia video hii mpya ambayo tayari ime malizika kutengezezwa na Director Nameless, ila imechelewa kutoka kutokana na kumpa nafasi Amore ku promote video yake mpya "Si Nka Babandi" ambayo ni mpya na mpaka ivi sasa ipo kwenye promotion.
Bac-t anasema kuwa kabla mwaka huu kumalizika atakuwa amejalibu sana kufikia malengo yake ya kimuziki ambapoa ame amua kuachia hit after hit kwani hata maliza miezi mitatu bila kuachia video mpya na anampango wa kurekebisha game la mziki wa Rwanda na kuufahamisha kimataifa.