Wednesday, November 2, 2016

PICHA YA RAISI PAUL KAGAME AKI MUENDESHA MFALME WAA MOROCCO YAONGELESHA WENGI

Raisi Paul Kagame wa Rwanda na Mfalme Mohammed VI wa Morocco ndani ya Range Rover/ COURTESY

Pica hii ya raisi Paul Kagame aki muendesha Mafalme wa Morocco ndani ya Range Rover / COURTESY baada ya ziara ya siku kadhaa mfalme huyo alipotembelea nchi ya Rwanda, yasababisha watu kuzungumza mengi katika mitandao mbali mbali ya kijamii.

Picha hii ili postiwa kwenye akaunti ya Facebook ya raisi Paul Kagame, akiendesha gari nyeusi aina ya Range rover na kwenye siti ya pembeni Mfalme Mohammed VI wa Morocco akiwa amekaa pembeni.
Hawa wawili walionekana wakiwa wamekaa ndani ya gari na kuzungumza machache katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Rwanda, Kanombe Airport baada ya ziara iliyo fanywa na mfalme huyo wa Morocco nchini Rwanda. 
Walinzi wa mfalme walionekana wakiwa wamengoja mfalme huyo azungumze machache na raisi Kagame kisha wamsindikize kwenye ndege kuendelea na safari.




Raia wa Kenya wamechukua nafasi kujadili mengu kuhusiana na mengi mazuri anayo yafanya raisi wa Rwanda Paul Kagame.


Another Kagame admirer Musa Haji Goh posted: "This jacaranda man is one rare breed. .. I admire him and he earned my respect. .there are few like him but someone to compare him in Africa leadership .. I haven't seen or heard... I salute you Mr President."
"Thanks Mr Kagame (president of Rwanda). When you finish with Rwanda come back home and help us to solve the mess on our land - corruption, that is giving our president (Uhuru Kenyatta) sleepless nights. No one cares about labourers, all big fish go freely around and no one is doing any thing. Keep working hard for the best and better lives of Rwanda citizens," posted Anthony Gatimu .


No comments:

Post a Comment