Thursday, September 8, 2016

USHER KUPOKEA HESHIMA YA HOLLYWOOD "WALK OF FAME"


Msanii kutoka Marekani Usher Raymond amekuwa ni msanii maarufu kwa muda mrefu. lakini mwisho wa sikuu sasa amepata heshima yake ya u star  toka hollywood. Kama WALK OF FAME.

Siku ya juma nne msanii huyu star wa R&B duniani, huko hollywood walimkubali na kuweka saini ya nyota na jina lake kama star wa Walk of fame. kwa kumkubali kama msanii aliye fanya mambo mengi duniani katika safari yake mziki.

“I’m here because I haven’t given up and I have even more to tell,” he said. “It’s a story that started many, many, many years ago that leads to this moment. It’s not just what you do while you’re here. It’s the evidence of what you’ve done and what you leave on the walls, on the ground, and the hearts of all the people who are passionately connected to what you put out in the world.”


Usher pia kachukua nafasi ya kuwashukuru mashabiki wake kwa support wanayo muonyesha kila siku. “I don’t just celebrate this moment by myself,” he said. “I celebrate it with those people who invested in me, those people who loved me in my hard times.”

Msanii huyu pia haku kosa kushukuru watu ambao walikuwa karibu naye sana kwa kipindi chote kama vile  Stevie Wonder, Kelly Rowland, Miguel, and will.i.am. Others, like BJ the Chicago Kid, shared their congrats on Twitter.

No comments:

Post a Comment