Follow by Email

Thursday, September 8, 2016

BUTERA KNOWLES BAADA YA KUFUNGA NDOA NA UJAUZITO AENDELEA KUFANYA NYIMBO ZA KISWAHILI


Msanii mrembo Knowless Butera toka Rwanda ana onekana kutaka kuliteka soko la muziki wa Africa Mashariki kwa kufuruliza kuachia nyimbo ambazo zipo kwenye lugha ya Kiswahili, tofauti na wasanii wengi toka nchini Rwanda ambapo tumezoea kuskia wakitumia Lugha ya Kinyarwanda sana katika nyimbo zao.
Nahii imeonekana kama ni kikwazo kwa mziki wa Rwanda kuvuka mipaka na kuweza kufika nchi zote za Africa Mashariki.
Baada ya msanii Knowles kufanya nyimbo za kiswahili kam vile TULIA na PEKE YANGU watu walianza kujiuliza mengi.

Na baada ya kufanya harusi huku akiwa ni mjamzito  na Producer pia C.E.O wa record label ya Kina Music Clement. Juzi tu Knowles kashitua watu kwa muendelezo wa nyimbo za kiswahili na kufanya nyimbo nyingine mpya, aliyo ipatia jina la (Ujumbe by Knowles)

unaweza ku download na kusikiliza nyimbo mpya ya knowles UJUMBE hapa chini.No comments:

Post a Comment