Follow by Email

Monday, December 21, 2015

SPAXX MSANII WA RWANDA AMSHIRIKISHA PALLASO WA UGANDA, NYIMBO INAITWA NASKIA VIZURI

Spaxx msanii mkongwe wa miondoko ya Dancehall kutoka Rwanda, amefanya Collabo na msanii kutoka Uganda Pallaso, nyimbo inaitwa "NASKIA" audio ime fanywa na producer Pachento ndani ya Studio za Narrow road Records.

Tazama Audio Cover ya NASKIA by Spaxx Ft PallasoKutokana na Taarifa kutoka kwa Spaxx Anasema kama tayali na video imesha shootiwa nchini Uganda na Video Director  kutoka Rwanda ambaye ana julikana kwa jila la Meddy Sareh. ikiwa bado tuna subili kwa hamu kuona video, tazama picha ya Spaxx na Pallaso waki shoot video ya Naskia.No comments:

Post a Comment