Thursday, June 15, 2017
MSANII RAPER WA KIKE WA NCHINI RWANDA CINEY KUFANYIWA BRIDAL SHOWER
Rapa Uwimana Aïsha maarufu kama [Ciney] pamoja na Tumusiime Ronald mapenzi yao yamefika mbali baada ya kupendana kwa muda mrefu
Ciney na Tumusiime Ronald wamekula kiapoa cha kuishi pamoja kama mke na mume ki sheria za nchini Rwanda ambazo zina wahusu wanaotaka kufunga ndoa, kiapo hiki kimefanyikia Kimihurura tarehe ya 12 mwezi wa tano 2017.
Ni mwezi mzima sasa baada ya wawili hawa kuapiswa ki sheria, na sasa msanii huyu kafanyiwa sherehe za Kitchen Part maarufu kama Bridal Shower, sherehe hizo zili hudhuriwa na rafiki zake wa karibu, wasichana na wanawake marafiki wa, watu hao wote wameonekana kumpa zawadi nyingi..
Sherehe za Bridal Shower ya Ciney zimefanyikia mjini Kigali karibu na hospitali ya CHUK siku ya juma pili ya tarehe 11 mwezi wa 6 2017. Katika sherehe hizo ameonekana msanii wa kike maarufu wa nyimbo za injiri Tonzi aki imba..
Msanii huyu atafunga ndoa rasmi mwezi wa 7 / 2017, inatangazwa kuwa atafungia ndoa ndani ya kanisa la wa Angilikana St Etienne Nyamirambo, na siku chache zilizo pita kanisa hilo lilimpokea rasmi kama muumini wake.
Ciney pamoja na mpenzi wake Ronald wamekuwa pamoja kama wapenzi kwa muda wa miaka minne sasa. Ronald alimvalisha pete ya uchumba Ciney kwenye tamasha la Comedy huko Serena Hotel tarehe 26 mwezi wa tatu 2017.
Monday, November 7, 2016
JAY-Z NA BEYONCE WAFANYA SHOW YA KAMPENI KWAAJILI YA HILLARY CLINTON
Siku ya ijumaa ya tarehe 4 ya mwezi november, Jay-z na Beyonce walijiunga na Clintoni kufanya show kwaajili ya kampeni za uchaguzi huko nchini Marekani.
Show hiyo ilifanyika kwenye chuo kikuu cha jimbo la Cleveland, Wolstein Center kama sehemu ya kuomba kura kwa Wamarekani. Kwenye show hiyo, Beyonce alitumbuiza nyimbo zake zikiwemo “Formation,” “Freedom,” na “Run the World (Girls).”
Beyonce pia alitumia nafasi hiyo kumuombea kura Clinton, “There was a time when a woman’s opinion did not matter. If you were black, white, Mexican, Asian, Muslim, educated, poor or rich; if you were a woman, it did not matter,” alisema Beyoncé.
“Less than 100 years ago, women did not have the right to vote. Look how far we’ve come from having no voice to being on the brink of making history again by electing the first woman president. Yes. But we have to vote. The world looks to us as a progressive country that leads change.”
“Eight years ago,” aliendelea = “I was so inspired that my nephew, a young black child, could grow up knowing his dreams could be realized by witnessing a black president in office. Now, we have the opportunity to create more change. I want my daughter to grow up seeing a woman lead our country and know that her possibilities are limitless. We have to think about the future of our daughters, of our sons, and vote for someone who cares for them as much as we do and that is why, ‘I’m with her.’”
Naye Jay Z alitumbuiza nyimbo kama “Made in America,” “Run This Town,” “U Don’t Know,” “I Got the Keys,” na “Public Service Announcement.”
Kwa upande wake alisema: “Respect matters to me. It’s such a fulfilling feeling that I had to really look into the word. ‘Re’ means again. Spect, ‘spectacle.’ It means to look again. When I look at you, I see your appearance. But when I get to know you, I know who you are and [then] all of those things disappear: no color, no gender, no social status. The soul is colorless.
I want to grow up in a world,” he continued, “where our daughter has no limitation. She feels like she can be whatever she wants to be in the world. This other guy [referring to Republican nominee Donald Trump], I don’t have no ill will towards him, but his conversation is divisive and that’s not an evolved soul to me so he cannot be my president. He cannot be our president. Once you divide us, you weaken us. We’re stronger together.”
Uchaguzi huo wa Marekani utafanyika November 8.
PATA LIST YA WASHIRIKI NA WASHINDI WA AFRIMA 2016
The 2016 ALL Africa Music Award (AFRIMA) ceremony
has held in Lagos, Nigeria on November 6, 2016.
All Africa Music Awards Best African Collaboration
·
Ahmed Soultan ft. Femi
Kuti, Fred Wesley, Pee Wee Ellis, Mehdi Nassouli – Afrobian (Morocco)
·
Amine Aub & Masta
Flow – Feel the Same (Morocco)
·
Amine Aub ft Papa Wemba
and DJ Youcef – Kanya Ma Kan (Morocco)
·
Eddy
Kenzo Ft. Niniola – Mbilo Mbilo remix (Uganda) – Niniola - WINNER
·
Flavour Ft Selebobo –
Mmege Mmege (Nigeria)
·
Francois Van Coke ft.
Arno Carstens – Ek Weet Nie (South Africa)
·
Okyeame Kwame Ft Mzvee –
Small Small (Ghana)
·
Sarkodie ft Pat Thomas –
Bra (Ghana)
·
Tiwa Savage ft Dr. Sid –
If I Start to Talk (Nigeria)
Best Artiste/Duo/Group In African Electro
·
Black Coffee – Come With
Me (South Africa)
·
DJ Maphorisa – Soweto
Baby (South Africa)
·
Djeff Afrozila – So
Blessed (Angola)
·
Hatim Ammor – Alawal
(Morocco)
·
Mi Casa – Barman (South
Africa)
·
Renato Xtrova – Love
Affair (Angola)
·
Such
– You (Zimbabwe) - WINNER
All Africa Music Awards Best African Jazz
·
Bokani Dyer – Vuvuzela
(South Africa)
·
Carmen Souza – Cape
Verdean Blues (Cabo Verde)
·
Jimmy
Dludlu – Ha Deva (South Africa) - WINNER
·
Kunle Ayo – Happy to
Know You (Nigeria)
·
Moreira Chonguica –
Ngoma (Mozambique)
·
Oum – Ah Wah (Morocco)
·
Ray Lema Quintet – Head
Bug (Democratic Republic of Congo)
Best Artiste/Duo/Group In African Reggae, Ragga & Dancehall
·
Agende – Ziza Bafana
(Uganda)
·
Anteneh Minalu – Wayo
(Ethiopia)
·
Cindy Sanyu – Still
Standing (Uganda)
·
Dufla Diligon ft Cindy
Sanyu – Tempo (Kenya)
·
Montess – In Love with A
Gun (Cameroon)
·
Patoranking
– No Kissing Baby (Nigeria) - WINNER
·
Stonebwoy – Go Higher
(Ghana)
·
T-Smallz – Guewel
(Gambia)
Best Artiste/Duo/Group In African Hip-Hop
·
AKA – Composure (South
Africa)
·
CiCi Bala – Lebanta
(Botswana)
·
E.L – King Without a
Crown (Ghana)
·
H-Name – Wach Rak
Nachet? (Morocco)
·
Jizzle – Man of the Year
(Gambia)
·
Jovi – Zélé (Cameroon)
·
Sarkodie –Hand to Mouth
(Ghana)
·
Stanley
Enow – Work Hard (Cameroon) - WINNER
·
YCEE – Omo Alhaji
(Nigeria)
·
Zona 5 – Pablo (Angola)
Best Artiste/Duo/Group In African RnB & Soul
·
Aramide – I Don’t Care
(Nigeria)
·
Butera Knowless –
Konashize (Rwanda)
·
Henok
& Mehari Brothers – Ewèdi Shalèhu (Ethiopia) - WINNER
·
Iyanya – Type of Woman
(Nigeria)
·
Kiss Daniel – Mama
(Nigeria)
·
Korede Bello ft Tiwa
Savage – Romantic (Nigeria)
·
Lira – Let There Be
Light (South Africa)
·
Niniola – J’ètè
(Nigeria)
·
Ric Hassani – Gentlemen
(Nigeria)
·
Sidikiba Diabaté – Fais
Moi Confiance (Mali)
·
Tjan – Aduke (Nigeria)
·
Zonke – Reach It –
(South Africa)
Songwriter of the Year In Africa
·
Bulelwa Mkutukana -Imali
(Zahara, South Africa)
·
Eddy Kenzo & Niniola
– Mbilo Mbilo (Eddy Kenzo & Niniola, Uganda)
·
Hatim Ammor – Alawal
(Hatim Ammor, Morocco)
·
Kwame Nsiah Apau – Small
Small (Kwame Okyeame ft Mzvee, Ghana)
·
Lerato Molapo – Let
There Be Light (Lira, South Africa)
·
Naseeb Abdul Juma –
Utanipenda (Diamond Platnumz, Tanzania)
·
Olawale Ashimi – In the
City (Brymo, Nigeria)
·
Sidikiba Diabaté – Fais
Moi Confiance (Sidikiba Diabate, Mali)
·
Theo Kgosinkwe and
Nhlanhla Nciza – Colours of Africa (Mafikizolo, Diamond, DJ Maphorisa, South
Africa)
·
Unique
– Njogereza (Navio, Uganda) - WINNER
Producer of the Year
·
DJ Coublon – Duro
(Tekno, Nigeria)
·
DJ Maphorisa – Soweto
Baby (DJ Maphorisa Ft Wizkid & DJ Buckz, South Africa)
·
DJ Van – #Woman (DJ Van
& Tyrane, Morocco)
·
Don Jazzy – If I Start
To Talk (Tiwa Savage, Nigeria)
·
Fortune Dane – Hand To
Mouth (Sarkodie, Ghana)
·
Kuseim
– Mbilo Mbilo remix (Eddy Kenzo Ft Niniola, Uganda) - WINNER
·
Masterkraft – Finally
(Masterkraft Ft Flavour & Sarkodie, Nigeria)
·
Sidikiba Diabaté – Fais
Moi Confiance (Sidikiba Diabaté, Mali)
·
Yung John – Baba Nla
(Wizkid, Nigeria)
All Africa Music Awards Revelation of the Year
·
Amine Aminux – Makayen
(Ma Morocco)
·
E.L – King Without a
Crown (Ghana)
·
Emtee – Roll Up (South
Africa)
·
Falz
– Bad Baddo Baddest (Nigeria) - WINNER
·
Simi – Love Don’t Care
(Nigeria)
·
Yamato Band – Cheza Kwa
Madoido (Tanzania)
·
Zani Challe ft.
Patoranking – Single Tonight (Malawi)
Song of the Year In Africa
·
Alawal – Hatim Ammor
(Morocco)
·
Duro – Tekno (Nigeria)
·
Fais Moi Confiance –
Sidikiba Diabaté (Mali)
·
Final (Baba Nla) –
Wizkid (Nigeria)
·
If I Start to Talk –
Tiwa Savage (Nigeria)
·
Imali – Zahara (South
Africa)
·
Mbilo Mbilo remix – Eddy
Kenzo (Uganda)
·
Njogereza – Navio
(Uganda)
·
Small Small – Okyeame
Kwame ft Mzvee (Ghana)
·
Soweto Baby – DJ
Maphorisa Ft Wizkid & DJ Buckz (South Africa)
·
Utanipenda
– Diamond Platnumz (Tanzania) - WINNER
Album of the Year
·
Ahmed
Soultan – Music Has No Boundaries (Morocco) - WINNER
·
C4 Pedro – King C.K.W.A
(Cameroon)
·
Mi Casa – Home Sweet
Home (South Africa)
·
Sauti Sol – Live and Die
in Afrika (Kenya)
·
Sidikiba Diabaté –
Diabateba Music Vol. 1 (Mali)
·
Tiwa Savage – R.E.D
(Deluxe Edition) (Nigeria)
·
Yemi Alade – Mama Africa
(Diary of An African Woman) (Nigeria)
·
Zahara – Country Girl
(South Africa)
·
Zonke – Work of Heart
(South Africa)
Artiste of the Year
·
Black Coffee – Come With
Me (South Africa)
·
Diamond Platnumz –
Utanipenda (Tanzania)
·
Eddy Kenzo – Mbilombilo
Remix (Uganda)
·
Hatim Ammor – Alawal
(Morocco)
·
Navio – Njogereza
(Uganda)
·
Sarkodie – Hand To Mouth
(Ghana)
·
Sidikiba Diabaté – Fais
Moi Confiance (Mali)
·
Tekno – Duro (Nigeria)
·
Tiwa Savage – If I Start
To Talk (Nigeria)
·
Wizkid
– Final (Baba Nla) (Nigeria) - WINNER
·
Zahara – Imali (South
Africa)
Video of the Year
·
Come With Me – Stacey
Lee (Black Coffee Ft Mque, South Africa)
·
Dogo
Yaro – Pascal Aka (VVIP Ft Samini, Ghana) - WINNER
·
Ek Weet Nie – Hunter
Kennedy (Francois Van Coke Ft Arno Carstens, South Africa)
·
Gentleman – Mex (Ric
Hassani, Nigeria)
·
King Without a Crown –
Phamousphilms (E.L., Ghana)
·
Mbilo Mbilo remix – Mex
(Eddy Kenzo ft Niniola, Uganda)
·
Mmege Mmege – Clarence
Peters (Flavour ft Selebobo, Nigeria)
·
School Your Face –
Damola Adelaja (Temi Dollface, Nigeria)
Most Promising Artiste
·
Amine
Aub – Feel the Same (Morocco) - WINNER
·
Antenehminalu – Wayo
(Ethiopia)
·
Bisa Kdei – Mansa
(Ghana)
·
Butera Knowless –
Konashize (Rwanda)
·
Elzo Jamdong – Assiko
Flow (Senegal)
·
Nuru – All in a Moment
(Ghana)
·
Ric Hassani – Gentlemen
(Nigeria)
·
Sat B – Nyampinga
(Burundi)
Best Artiste/Duo/Group In African Pop
·
Amine Aminux – Makayen
Ma (Morocco)
·
Amine Aub – Feel the
same (Morocco)
·
Diamond Platnumz –
Utanipenda (Tanzania)
·
Jose Chameleone –
Agatako (Uganda)
·
Tekno – Duro (Nigeria)
·
Wizkid – Final (Baba
Nla) (Nigeria)
Best Artiste/Duo/Group In African Rock
·
Amine Aub & Masta
Flow – Kanya Ma Kan (Morocco)
·
Dark Suburb ft Wiyaala –
Mama (Ghana)
·
Francois Van Coke ft
Arno Carstens – Ek Weet Nie (South Africa)
·
Jano Band – Darigne
(Ethiopia)
·
Kanyeki – Murata (Kenya)
·
Lionel Loueke Trio –
Wacko Loco (Benin)
·
Loki Rothman – Under the
Stars (South Africa)
·
M’Vula
– Tristezas E Alegrias ( Angola) - WINNER
All Africa Music Awards Best African Group
·
Jano Band – Darigne
(Ethiopia)
·
M’ Vula – Tristezas E
Alegrias (Angola)
·
Mafikizolo – Colours of
Africa ( South Africa)
·
Mi Casa – Barman (South
Africa)
·
Sauti Sol – Live and Die
In Afrika (Kenya)
·
Toofan – Eledji (Togo)
·
VVIP
– Dogo Yaro (Ghana) - WINNER
·
X-Maleya – Mon Mariage
(Cameroon)
Best Artiste/Duo/Group In African Traditional
·
Alokè – Gbétoho (Benin)
·
Binakoumaré & Madou
Diabate – N’djaba (Mali)
·
Bioma – Ovedje Ayonuwe
(Nigeria)
·
Dizu Plaatjies – Inkomo
(South Africa)
·
Mabiisi – Awine (Ghana
& Burkina Faso)
·
Stypak Samo – Woyo hoooo
(Cameroon)
·
Zeynab
– Bolojo (Benin) - WINNER
Best Artiste/Duo/Group/Band In African Contemporary
·
Adiouza – Daddy
(Senegal)
·
Ahmed Soultan – Afrobian
(Morocco)
·
Eddy Kenzo – Mbilo Mbilo
Remix (Uganda)
·
Flavour
– Mmege Mmege (Nigeria) - WINNER
·
Okyeame Kwame ft Mzvee –
Small Small (Ghana)
·
Reniss – La Sauce
(Cameroon)
·
Tiwa Savage – If I Start
To Talk (Nigeria)
·
Zahara – Imali (South
Africa)
Best Female Artiste in Inspirational
·
Evelyn Wanjiru –
Nikufahamu (Kenya)
·
Mercy Masika –
Nikupendeze (Kenya)
·
Naomi
Achu – Busy Body (Cameroon) - WINNER
·
Oum – Ah Wah (Morocco)
·
Sinach – Way Maker
(Nigeria)
·
Yemi Alade – Na Go De (Nigeria)
Best Male Artiste in African Inspirational
·
Benjamin Dube – I Know
Only You (South Africa)
·
Denno Ft Bahati – Story
Yangu (Kenya)
·
Icha
Kavons – Testimony (Democratic Republic of Congo) - WINNER
·
Kanyekiz – Murata
(Kenya)
·
Mike Abdul – Korede
(Nigeria)
·
Papa Dennis & Rigan
Sarkozi Olalo (Kenya)
All Africa Music Awards African Fans Favourite
·
D’Banj – Emergency
(Nigeria)
·
DJ Hamida Ft H Magnum –
Pina Colada (Morocco)
·
H Magnum ft Black M –
Aucun Mytho (Cote d’Ivoire)
·
Kiff No Beat – La Vie De
Louga (Cote d’Ivoire)
·
Maitre Gims Ft Nsika –
Sapés Comme Jamais (Democratic Republic of Congo)
·
Mr. Bow – Vida Boa
(Mozambique)
·
Nyashinki – Now You Know
(Kenya)
·
Phyno
Ft Olamide – Fada Fada (Nigeria) - WINNER
REGIONAL CATEGORIES
Best Male Artiste Central Africa
·
C4 Pedro – Spetxa One
(Angola)
·
Ferre gola – Tucheze
(DRC)
·
Franko – Coller La
Petite (Cameroon)
·
Jovi – Zele (Cameroon)
·
Nelson Freitas – Miuda
Linda (Angola)
·
Wax
Dey – Saka Makossa (Cameroon) - WINNER
·
Werasson – Yo Te (DRC)
Best Female Artiste, Central Africa
·
Bruna
Tatiana – Pometo Mudar (Angola) - WINNER
·
Daphne Ndolo – Ndolo
(Cameroon)
·
Mani Bella – Qui Cherche
Tronve (Cameroon)
·
Naomi Achu – Busy Body
(Cameroon)
·
Reniss – La Sauce
(Cameroon)
·
Syssi Mananga – Juste Un
Peu (DRC)
Best Male Artiste, Eastern Africa
·
Alikiba – Aje (Tanzania)
·
Bebe Cool – Kabulengane
(Uganda)
·
Diamond
Platinumz – Utanipenda (Tanzania) - WINNER
·
Eddy Kenzo – Mbilo Mbilo
Remix (Uganda)
·
Jose Chameleone –
Agatako (Uganda)
·
Navio – Njogereza
(Uganda)
Best Female Artiste, Eastern Africa
·
Avril – No Stress
(Kenya)
·
Cindy
Sanyu – Still Standing (Uganda) - WINNER
·
Fikeraddis Nekatebeb –
Misekir (Ethiopia)
·
Irene Ntale – Omukwano
Gw’ekilo (Uganda)
·
Juliana Kanyomozi –
Twalina Omukwano (Uganda)
·
Victoria Kimani – Booty
Bounce (Kenya)
Best Female Artiste, Northern Africa
·
Amal Maher -Ezay Fatetny
(Egypt)
·
Angham – Wahda Kam La
(Egypt)
·
Latifa – Ya Hayati
(Tunisia)
·
Samira Said – Mahassalsh
(Morocco)
·
Sarah Ayoub – Nachid Al
Houb (Morocco)
·
Zina
Daoudia – La Waheed Wala Million (Morocco) - WINNER
Best Male Artiste, Northern Africa
·
Ahmed Soultan – Afrobian
(Morroco)
·
Ahmed Chawki – Tsunami
(Morocco)
·
Amir Diab – Al Qahira
Cairo (Egypt)
·
Ayman Alatar – Fi Galbi
Kalam (Libya)
·
DJ
Van ft Tyrane – #Woman (Morocco) - WINNER
·
Hatim Ammor – Alawal
(Morocco)
·
H-Name – Wach Rak Nachet
(Morocco)
Best Female Artiste, Southern Africa
·
Lira – Let there be
Light (South Africa)
·
Lizha James – Chocolate
(Mozambique)
·
Palu Chihera – Nemoyo
(Zimbabwe)
·
Sally
Boss Madam – Natural (Namibia) - WINNER
·
Zahara – Imali (South
Africa)
·
Zonke – Reach it (South
Africa)
Best Male Artiste, Southern Africa
·
AKA – Composure (South
Africa)
·
Anatii & Cassper
Nyovest – Jump (South Africa)
·
Black
Coffee – Come with me (South Africa) - WINNER
·
Dizu Plaaties – Inkomo
(South Africa)
·
DJ Maphorisa – Soweto
Baby (South Africa)
·
Jay Prayzah – Hello
(Zimbabwe)
Best Female Artiste, Western Africa
·
Adiouza – Daddy
(Senegal)
·
Aramide
– I don’t care (Nigeria) - WINNER
·
Niniola – J’ete
(Nigeria)
·
Josey – Diplome (Ivory
Coast)
·
Seyi Shay – Right Now
(Nigeria)
·
Temi Doll Face – School
Your Face (Nigeria)
·
Tiwa Savage – If I Start
to Talk (Nigeria)Yemi Alade – Na Go De (Nigeria)
·
Yemi Alade – Na Go De
(Nigeria)
Best Male Artiste, Western Africa
·
Brymo – In The City
(Nigeria)
·
Flavour
– Dance (Nigeria) - WINNER
·
Okyeame Kwame – Small
Small (Ghana)
·
Sarkodie – Hand to Mouth
(Ghana)
·
Sidikiba Diabate – Fais
Moi Confiance (Mali)
·
Tekno -Duro (Nigeria)
·
Wizkid – Final Baba Nla
(Nigeria)
Special Recognition Award- King Sunny Ade (Nigeria)
Special Recognition Award- Papa Wemba (Congo)
Special Recognition Award- Papa Wemba (Congo)
Subscribe to:
Posts (Atom)