Wednesday, February 10, 2016

FETTY WAP KUONGOZA KWENY LIST YA FORBES HIP HOP CASH PRINCES


                                                               ARTIST: FETTY WAP


Forbes ikiwa tayali imetangaza list yake ya wale walioingia kwenye Forbes Hip-Hop Cash Princes ya 2016. ni list ya wale walio weza kujitengenezea mkwanja mrefu zaidi mwaka huu.
Na Fetty Wap akiwa ndiye anaongoza kwenye list hii ambayo ime tengenezwa na Hit-Boy.
unaweza angalia hapa chini mpangilio mzima

FORBES HIP-HOP CASH PRINCES 2016
Boi-1da
DeJ Loaf
Fetty Wap
G-Eazy
Joey Bada$$
Lil Dicky
Little Simz
Logic
Metro Boomin