Ulijua baada
ya kukutana kwa Vanessa Mdee wa Tanzania na Navio kutoka Uganda ndio imeishai pale?
Basi kaa tayari kwa wimbo mpya kutoka kwa wasanii hao.
Vanessa ambaye wiki iliyopita alionekana akiwa nchini Uganda na kukutana na rapper huyo, ameweka picha kadhaa kwenye mtandao wake wa Instagram zikiwaonyesha wakiwa location wakishoot video ya wimbo wao huo.
Hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha wawili hao wakiwa wanashoot video hiyo.
No comments:
Post a Comment