Mshindi wa Tusker All Stars Alpha Rwirangira, atafanya Bonge la Show huko Nairobi Kenya akisindikizwa na Msechu wa Tanzania pamoja na Davis wa Uganda, bila kuwasahau wakali watatu kutoka ndani na nje ya Africa. Cabo Snoop, EVE na Shaggy.
Angola artist: Cabo Snoop
American Rapper: EVE
Jamaican American Artist: Shaggy
For more Information kuhusiana na tamasha hilo angalia poster hapo chini, kisha jipe jibu.
No comments:
Post a Comment