PRINCE ROGERS NELSON
Msanii mashuhuri na mkongwe PRINCE ROGERS NELSON ambaye alikuwa Muimbaji, Muandishi, mchezaji wa vifaa mbali mbali vya muziki, Producer na pia muigizaji amefariki dunia siku ya jana tarehe 21.04.2016. ali fariki akiwa kwenye lift na mpaka sasa bado haija julikana sababu ya kifo chake police ya Marekani bado inafuatilia sababu ya kifo chake.
Muimbaji huyu atakumbukwa sana na watu wengi duniani kwani alikuwa mkali wa miondoko ya Funk, Rocky, RnB, Soul pamoja na Pop.
Mwana mziki huyu alizaliwa Marekani huko Minneapolis Minnesota June. 7. 1958 na kufariki dunia tarehe 21 April 2016. Mungu ailaze roho yake mahari pema.
No comments:
Post a Comment