Friday, September 30, 2016

SALOME VIDEO YA DIAMOND PLUTNUMZ YAPATA VIEWS MILLION 3 KWA WEEK MOJA NDANI YA YOUTUBE



Video ya Diamond Plutnumz aliyo mshirikisha Raymond ya "Salome" yapata zaidi ya views million 3 kwa muda wa week moja tu, ndani ya mtandaom wa YOUTUBE.



Nyimbo hii ni Remix ya nyimbo ya muimbaji mwana mama Saida Kaloli, ni nyimbo iliyo pata umaarufu sana Afika Mashariki. Diamond kaamua kuirudia na kuifanya pamoja na mwanamziki mwenzake kutoka Wasafi Records Raymond.



Diamond amekuwa ni mmoja kati ya wasanii wakubwa wanao iwakilisha Afrika Mashariki na kuwa ni mtu anaye pata vies nyingi zaidi Youtube pindi anapotupia video zake tu ndani ya mtandao huo.

No comments:

Post a Comment