Thursday, September 8, 2016

JE WAJUA KAMA DR DRE NDIO MSANII WA HIP HOP ANAYE ONGOZA KUPATA HELA NYINGI KWA MFULULIZO WA MIAKA 10 SASA



Forbes Magazine imekuwa iki ongoza kwa kutoa habari za utajili duniani kwa muda waa zaidi ya miaka 100 sasa. Na kwa muda wa miaka 10 sasa ime onekana kuwa Msanii wa hip hop Dr Dre ndio ana kamata number moja kila mwaka kwa miaka kumi sasa inayo fuatana katika Cash King List.

Forbes waki sherekea kumbu kumbu ya miaka 10 katika list ya ma rapper tajiri duniani mtu waliye muangazia ni Dr Dre ambaye kwa sasa amepata zaidi ya Dollar Million 923 kwa huo muda wote. akishukuru pia deal yake ya Apple akiuza Beats Audio nakupata zaidi ya Dollar Billioni 3.

Kwa mujibu wa Forbes katika kumbu kumbu ya Cash King report, rapper wa kawaida anaye ongoza ni Puff Daddy  akishikilia namba moja akiwa na zaidi ya dollar million 62 anazo pata kwa mwaka, kupitia deal yake ya Cirok Vodka.Jay-Z na Dr Dre wakifuatia katika nafasi ya pili na ya tatu.kwa repoti inayo tolewa ya kipato cha dollar millioni 53.5 na dollar milioni 41. Drake aki kamata nafasi ya 4 na Dollar Millioni 38.5 na Wiz Khalifa akifunga nafasi ya tano akiwa na dollar milioni 24.

Kendrick Lammar akimtoa Kanye west kwa mtazamo wa Cash King Top 10 ya mwaka 2016.

No comments:

Post a Comment