Thursday, September 15, 2016

VICTORIA KIMANI MSANII WA KENYA AFANYA NYIMBO YA KWANZA KWA LUGHA YA KISWAHILI


Victoria Kimani ame onekana ku walalamikia mashabiki wake wa Kenya pamoja na East Africa kwa ujumla kuwa hawampi sapoti katika kazi zake za mziki. ila sababu ilionekana ni kuwa Kimani hawapi nyimbo wakazi wa Kenya na Afrika mashariki kwa ujumla ambazo zipo kwa lugha wanayo ielewa.


Ila kwa sasa Victoria Kimani Kafanya nyimbo ambayo ipo kwa lugha ya Kiswahili kwa mala ya kwanza, nyimbo ambayo kaipatia jina la "Gota"

Kimani amemtaja rapper AbbasDoobies kuwa ndiye aliye msaidia kuandika hii single ya kiswahili.
unaweza kuisikiliza Gota ya Victoria Kimani  hapa chini....


No comments:

Post a Comment