Msanii : Bac-t
Sasa anatangaza kuachia video yake nyingine mpya ambayo ame mshirikisha msanii wa kike wa Rwanda kutoka nchini UK aitwaye Amore.
Bac-t and Amore
Bac-t anasema kuwa hivi karibuni anahitaji kuachia video hii mpya ambayo tayari ime malizika kutengezezwa na Director Nameless, ila imechelewa kutoka kutokana na kumpa nafasi Amore ku promote video yake mpya "Si Nka Babandi" ambayo ni mpya na mpaka ivi sasa ipo kwenye promotion.
Bac-t anasema kuwa kabla mwaka huu kumalizika atakuwa amejalibu sana kufikia malengo yake ya kimuziki ambapoa ame amua kuachia hit after hit kwani hata maliza miezi mitatu bila kuachia video mpya na anampango wa kurekebisha game la mziki wa Rwanda na kuufahamisha kimataifa.
No comments:
Post a Comment