50 Cent katoa ngoma mpya inayoitwa “The Enforcer,” ni
ngoma ambayo itakuwa soundtrack ya film ambayo itatoka
ivi kalibuni, hiyo film ambayo ni robot boxing film itaitwa Real Steel, starring wa hiyo film
ni Hugh Jackman. Wacha tungoje huio
mzigo wa The hip-hop
heavyweight 50 Cent .
No comments:
Post a Comment