Mourinho mwenye umri wa miaka 54 ambaye aliwahi kuvifundisha vilabu vya Porto, Chelsea, Inter Milan pamoja na Real Madri. Ame saini mkataba wa miaka miitatu kuwatumikia mashehani hao wekundu.
"Kuwa Manager wa Manchester United ni heshima kubwa sana. Ni klabu inayo fahamika na kupendwa na watu wengi duniani kote" amesema Jose.
Mreno huyo ambaye ni mzoefu a kushida mataji ata anza rasmi kutumikia klabu hiyo kuanzia msimu wa 2016/2017.
No comments:
Post a Comment