Baadhi ya watumiaji wa simu za Android kwa sasa wanaweza kupiga simu kwa njia ya video call.
kwa sasa huduma hiyo inapatikana kwa watumiaji wachache wa simu za Android, huku wale wenye simu za iphone kuwekwa pembeni. huduma hii bado ipo kwenye majaribio. (Beta version)
Uwezo huo wa WhatsApp kupiga simu za video umekuja ili kushindana na application ya Facetime ya Apple.
No comments:
Post a Comment