Tuesday, November 1, 2016

BARUA YA TUPAC SHAKUR YAUZWA DOLA 172.000

Ni miaka 20 sasa baada ya kifo cha msanii mashuhuriTupacShakuri bado inaonekana kuwa watu bado wana hitaji mengi kutoka kwa msanii huyo,
Siku ya juma mosi ya tarehe 29 mwezi Octoba mwaka huu kurasa nne zilizo andikwa na msanii huyo zilifanyiwa mnada na kuuzwa $ 172.000.


 Hapa chini unaweza kuona barua iliyo andikwa kwa mkone wake mwenyewe hayati Tupac Shakur.


No comments:

Post a Comment