Msanii Diamond kutoka Tanzania atajwa kuwania tuzo za BET awards za mwaka huu wa 2016 ikiwa ni mara yake ya pili akiwa katika tuzo hizo, akiwa katika kipengele cha Best International Act Africa
Katika Awards hizo Diamonds Plutnumz atakuwa akichuana na wengine kama Wizkid, Yemi Olade, AKA, Casper Nyovest, MZVEE, Serge Beynaud na Black Koffie wa Afrika Kusini
Tuzo hizo zita tolewa mwishoni mwa mwezi June Nchini Marekani na msanii huyu atakuwa aki perfom June 26 huko nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment