Forbes ikiwa tayali imetangaza list yake ya wale walioingia kwenye Forbes Hip-Hop Cash Princes ya 2016. ni list ya wale walio weza kujitengenezea mkwanja mrefu zaidi mwaka huu.
Na Fetty Wap akiwa ndiye anaongoza kwenye list hii ambayo ime tengenezwa na Hit-Boy.
unaweza angalia hapa chini mpangilio mzima
FORBES HIP-HOP CASH PRINCES 2016
Boi-1da
DeJ Loaf
Fetty Wap
G-Eazy
Joey Bada$$
Lil Dicky
Little Simz
Logic
Metro Boomin
DeJ Loaf
Fetty Wap
G-Eazy
Joey Bada$$
Lil Dicky
Little Simz
Logic
Metro Boomin