Spaxx msanii mkongwe wa miondoko ya Dancehall kutoka Rwanda, amefanya Collabo na msanii kutoka Uganda Pallaso, nyimbo inaitwa "NASKIA" audio ime fanywa na producer Pachento ndani ya Studio za Narrow road Records.
Tazama Audio Cover ya NASKIA by Spaxx Ft Pallaso
Kutokana na Taarifa kutoka kwa Spaxx Anasema kama tayali na video imesha shootiwa nchini Uganda na Video Director kutoka Rwanda ambaye ana julikana kwa jila la Meddy Sareh. ikiwa bado tuna subili kwa hamu kuona video, tazama picha ya Spaxx na Pallaso waki shoot video ya Naskia.
No comments:
Post a Comment