Spaxx msanii mkongwe wa miondoko ya Dancehall kutoka Rwanda, amefanya Collabo na msanii kutoka Uganda Pallaso, nyimbo inaitwa "NASKIA" audio ime fanywa na producer Pachento ndani ya Studio za Narrow road Records.
Tazama Audio Cover ya NASKIA by Spaxx Ft Pallaso
Kutokana na Taarifa kutoka kwa Spaxx Anasema kama tayali na video imesha shootiwa nchini Uganda na Video Director kutoka Rwanda ambaye ana julikana kwa jila la Meddy Sareh. ikiwa bado tuna subili kwa hamu kuona video, tazama picha ya Spaxx na Pallaso waki shoot video ya Naskia.
Monday, December 21, 2015
Google IMETOA LIST YA THE 10 MOST SEARCHED SONG LYRICS 2015
Mtandao wa Google umetoa list ya video kumi ambazo zime fanyiwa search nyingi kuliko zote duniani kati ya huu mwaka wa 2015. THE MOST GOOGLED SONG LYRICS 2015.
Adele neye baada ya kufanya vizuri kwenye nyimbo yake Hello, bado ana ongoza kwenye list hii iliyo tolewa na GoogleTazama list yote ya lyrics 10 hapa chini
1 - Hello - Adele
2 - Hozier - Take me to Church
3 - Taylor Swift - Blank Space
4 - Mark Ronson ft Bruno Mars -Up town Funk
5 - Edd Sheeran - Thinking out Loud
6 - Drake - Hotline Bling
7 - Wiz Khalifa - See you Again
8 - Fetty Wap - Trap Queen
9 - The Weekend - The Hills
10 - OMI - Cheerleader
Thursday, December 17, 2015
HAWA NDIO TOP 5 YA WASANII WAKIKE AFRICA
MTV BASE imetoa list ya wasanii watano ambao wako juu Africa, akiwemo na msanii wa kike kutoka tanzania East Africa Vannesa Mdee.
Yemi Olade (Nigeria)
Vannesa Mdee (Tanzania)
Seyo Shay (Nigeria)
Cinthia Morgan (Nigeria)
Na hii ndio list
1 - Yemi Olade (Nigeria)
2 - Vannesa Mdee (Tanzania)
3 - Seyo Shay (Nigeria)
4 - Cinthia Morgan (Nigeria)
5 - Bucie (South Africa)
Vannesa Mdee (Tanzania)
Seyo Shay (Nigeria)
Cinthia Morgan (Nigeria)
Bucie (South Africa)
SHINDANO LA SURA MBAYA JE APO UPO?
Sio sura nzuri tu ambazo zina uza ata mbaya pia zina uza, kwani kume andaliwa shindano la wanaume wenye sura mbaya Africa, liitwalo Mr Ugly Africa ambapo wale wote wanao jiamini kuwa na sura mbaya wanaweza kuji andikisha na kushindania taji hilo, je wewe upo apo?
Angalia apa chini baadhi ya sura ambaya zilizo wwahi kushinda baadhi ya mashindano ya namna hiyo barani africa
NEW SONG Kalapina Ft Dunga - Magufuli Balaa
Hip Hop Artist Kalapina a.k.a Nabii koko
Msanii Wa Hip Hop Tanzania Na Mmiliki Wa Kundi La Kikosi Cha Mizinga Kalapina a.k.a Nabii Koko Atoa Ngoma Mpya Akimuongelea Rais Mteule Wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli, ni nyimbo iliyo jaa sifa za huyu raisi aliye weza kuji tengenezea umaarufu mkubwa mara baada ya kuanza vita dhidi ya mafisadi na kutambulisha ratiba za usafi wa nchi na mengine mengi,
Jina La Wimbo Ni Magufuli Balaa.
Subscribe to:
Posts (Atom)