Wednesday, October 19, 2016

BAC-T a.k.a BLASTMASTER KUTOA NYIMBO MPYA "WAPE"

Msanii maarufu wa miondoko ya hip hop nchini Rwanda Bac-t ka achia nyimbo mpya iliyopo katika miondoko ya Afro hip hop new skul. na kuipatia jina la "Wape".


Pia Bac-T katangaza  kuachia nyimbo nyingi mfurulizo kabla mwaka huu kufika mwisho na amesema kuwa mashabiki wake wakae tayali kwani kabla ya mwaka kumalizika anatarajia kuachia album yake ya tatu iliyopo katika miondoko ya hip hop.


Hapa chini unaweza kusikiliza nyimbo Wape by Bac-t na pia kui download


Hapa chini Unaweza kutazama kipande cha video ya studio aduio making



KING KAKA AONEKANA KATIKA PICHA AKISHIKILIWA NA POLISI NCHINI KENYA

Msanii wa hip hop nchini Kenya Kaka sungura a.k.a King Kaka ame onekana katika picha zilizo sambaa mtandaoni akiwa kashikiliwa na polisi. Japo kuwa mpaka sasa haija julikana nini sababu ya msanii huyo kushikiliwa na police


 Ikiwa watu bado wanajiuliza kama huyu msanii kashikiliwa na polisi kweli au hizi ni picha za video au alikuwa ana shoot movie wacha tusubili habali kamili, na Upinkgl tutawajuza hivi kalibuni.