Saturday, November 28, 2015

NEW VIDEO : Chris Brown Fine By Me

                                                    Chris Brown

Chris Brown, kutoka kwenye album yake "ROYALTY" album ya saba ikiwa bado iko studio na ita toka December 18. Chriss kaachia videa ya single "Fine By Me".


Friday, November 27, 2015

BAC-T MSANII WA HIP HOP RWANDA ATANGAZA UJIO WAKE BAADA YA TODAY IS MY DAY

Bac-t Msanii mkongwe wa miondoko ya hip hop nchini Rwanda baada ya kutoa video ya nyimbo yake iliyo itwa Today Is My Day aliyo mshirikisha msanii mwenzake Pacson.

                                    
                                                                    Msanii : Bac-t
 Sasa anatangaza kuachia video yake nyingine mpya ambayo ame mshirikisha msanii wa kike wa Rwanda kutoka nchini UK aitwaye Amore.
                                                                  Bac-t and Amore

 Bac-t anasema kuwa hivi karibuni anahitaji kuachia video hii mpya ambayo tayari ime malizika kutengezezwa na Director Nameless, ila imechelewa kutoka kutokana na kumpa nafasi Amore ku promote video yake mpya "Si Nka Babandi" ambayo ni mpya na mpaka ivi sasa ipo kwenye promotion.
Bac-t anasema kuwa kabla mwaka huu kumalizika atakuwa amejalibu sana kufikia malengo yake ya kimuziki ambapoa ame amua kuachia hit after hit kwani hata maliza miezi mitatu bila kuachia video mpya na anampango wa kurekebisha game la mziki wa Rwanda na kuufahamisha kimataifa.